Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,akipata maelekezo ya asali alipotembelea banda
la asali katika maonesho ya 39 yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu
Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Wajasiriamali wa bidhaa ya asali ndani ya maonesho ya 39 yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment