HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 3, 2015

TANGANYIKA JEKI NDIO TUNAYO ITUMIA HUKU MTAANI KWETU.

 Haya ndio mambo ya tanganyika jeki mtaani kwetu baada ya kamera yetu kunasa taswirazz ya kibajaji kikiwa mguu juu kwa kuegeshewa mbao kwa hishara ya kuwa hii ndio jeki inayo tumika kuegeshea chombo hicho kuajili ya kufanya matengenezo ya chombo hicho.picha na mtaa kwa mtaa blog.
mguu juu mguu chini hapo.
kikatapila nacho kiko sevisi kwa kutumia tanganyika jeki kama kawa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad