HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 2, 2015

MAONYESHO YA CHUO CHA UTALII TANZANIA YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Cha Utalii  Tanzania,  Rosada Msoma akizungumza na wanafunzi na wakufunzi wa chuo cha Utalii(hawapo pichani) katika maonyesho ya utalii yaliyofanyika katika chuo hicho kampasi ya Bustani leo jijini Dar es Salaam.
 Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Fedha wa chuo cha utalii Tanzania Neema Kusiga, (watano katikati),Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Cha Utalii  Tanzania,  Rosada Msoma akiwa na wakufunzi wa Chuo cha Utalii Tanzania kutoka kampasi tatu za chuo hicho iliyofanyika katika Chuo cha Utalii kampasi ya Bustani jijini Dar es Salaam leo.
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Cha Utalii  Tanzania, Rosada Msoma akiwa katika Banda la Maonyesho ya Benki ya DCB iliyofanyika katika Chuo cha Utalii leo jijini Dar es Salaam.
Mpishi Gerard Andrew akionyesha baadhi ya vyombo vilivyopo katika jiko la wanafunzi wanaojifunza vitafunwa vya kuokwa katika chuo cha Utalii Tanzania leo jijini Dar es Salaam.
 Mpishi Issa Haji akitoa maelekezo kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Cha Utalii  Tanzania, Rosada Msoma katika jiko la wanafunzi wanaojifunza kupika  vyakula mbalimbali katika Chuo cha Utalii Tanzania Kampasi ya  Bustani jijini Dar es Salaam.
Mpishi ambaye jina lake halikutambulika mara moja akiwa amehusika katika kutengeneza Mikate katika Chuo cha Utalii Tanzania Kampasi ya Bustani jijini Dar es Salaam.

 Maonyenyesho ya Chuo cha Utalii Tanzania walionyesha vifaa vinavyotakiwa wakati wa kushafisha chumba cha Mteja Hotelini.
 Mpishi Issa Haji akitoa maelekezo Kwa wanafunzi wa Chuo cha Utalii cha Wanyamapori kampasi ya Temeke katika maonyesho ya chuo hicho yaliyofanyika katika kampasi ya Bustani leo jijini Dar es Salaam.
 Wanafunzi wa Kikosi cha wanyama pori wa kapasi ya Temeke wakiwa katika picha ya pamoja katika maonyesho ya Chuo cha Utalii Tanzania kampasi ya Bustani leo jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Wakufunzi wa Chuo cha Utalii Tanzania.
 Wanafunzi wa Chuo chaUtalii Tanzania wakishangilia katika maonyesho ya chuo hicho leo jijini Dar es Salaam.
 Wapishi wa Chuo cha Utalii Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja katika maonyesho ya chuo hicho yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Wakufunzi wa Chuo cha Utalii Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad