HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 2, 2015

MAMA AKIREJEA NYUMBANI

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa, mchana wa leo imeinasa taswira ya Mama huyu (jina kapuni) akipita juu ya maji yaliyotuama wakati akirejea nyumbani kwake, Kinondoni B Jijini Dar.

1 comment:

  1. daah!!! fangasi nje nje hapo,wakisubiri serikali itakula kwao, kama vipi waandamane.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad