HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 24, 2015

KILA MTU ANAKULA KAZINI KWAKE......

 Katika pita pita za Mzee wa Mtaa kwa Mtaa ili kuhakikisha libeneke halilali njaa, ilikatiza eneo hili lililopo Kawe jijini Dar na kukutana na Taswira hizi za jamaa waliotengeneza kivuko cha watembea kwa miguu (wale kule ng'ambo ya pili), ambapo yeyote anaetaka kupita juu ya kivuko hicho basi ni lazima alipe kiasi cha sh. 200/- ndio aruhusiwe, kama hana basi hana budi kupita kwenye maji kama waonekanavyo wengine hapo.
 Hawa wote hawakuwa na hela ya kulipoa kivuko hicho, hivyo walilazimika kupita zao kando ya kivuko hicho ili kuepusha shari pia.
Hata hawa watoto hawakuruhusiwa kupita juu ya kivuko hicho.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad