HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 2, 2015

KAMERA YA MTAA KWA MTAA ILIPOWANASA VIJANA WA TINGI WAKISHINDANA KUSAKATA MAGOMA

 Katika pita pita za Mzee wa Mtaa kwa Mtaa, hivi karibuni aliibukia maeneo ya Tingi huko Mkoani Lindi na kukutana vijana hawa wakionyeshana umwamba wa kusakata magoma huku mwamuzi wa mbambano huo (alieshika kiuno, ukibisha wee mbishi) akiwacheki kwa umakini mkubwa kuhakikisha hakuna anaependelewa, kutokana na vijana hawa wote kuwa wakali mno.
 Mara mwamuzi akawageukia kwa nyuma na kuwacheki kwa umakini ili mshindi apatikane kwa uhalali kabisa.
 " ....... huyu alionekana kuwa fiti kuwapita wenzake maana hadi mwamuzi aliduwaaa kwa mikato yake, yaani huyu hakutofautiana kabisa na madansa wa Wasafi wa Daimondi Platinamu.
hayariiiii....

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad