HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 1, 2015

KIKWANGUA ANGA KIKIMEREMETA KWA UPEKEE MTAANI KWETU.

 Jiji la mbeya limekuwa chachu ya maendeleo kwa sasa kutokana na watu wengi kuanza kupolomosha mijengo mizuri na ya kuvutia, kama kamera yetu ilivyo nasa kikwangua anga hiki kilicho chomoza eneo la makunguru mtaa wa juakali jijini mbeya.
            kinavutia kwa kweli ingawa kipo uswazi lakini kipo bomba sana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad