HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 31, 2015

UHABA WA MAJI JIJINI DAR

 Uhaba wa maji umetanda katika maeneo mengi hapa jijini Dar,sasa hivi kila unakokatisha mambo ni namna hii kuanzia asubuhi mpaka jioni.hii ni kutokana na hitilafu ya mtambo wa kusukuma maji la Ruvu chini.haijafahamika bado mpaka sasa kuwa hali hii itakuwa kwa muda gani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad