Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa akiwa ameshika bendera kuashiria uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathoni,Uzinduzi uliofanyika Hotel ya Kibo Homes,Wengine ni Viongozi katika kampuni ambazo zimejitkeza kudhamini mbio hizo
Katibu tawala wa
mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa akizungumza wakati wa hafla fupi
ya uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio
za kimataifa za Kilimanjaro
Marathoni,Uzinduzi uliofanyika Hotel ya Kibo
Homes,
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager
Pamela Kikuli ambao ndio wadhamini wakuu wa Mbio za Kilimanjaro
Marathoni 2015 ,akizungumza wakati wa uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio
hizo uliofanyika Hotel ya Kibo Homes mjini Moshi.
Baadhi ya wageni walikwa katika uzinduzi wa
msimu wa 13 wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni uliofanyika mjini
Moshi.
Mkurugenzi wa Kanda ya kaskazini wa kampuni
ya Tigo Tanzania ,David Charles ambao ndio wadhamini wa Mbio za
Kilimanjaro Marathoni kilometa 21 akizungumza wakati wa uzinduzi wa
mbio hizo uliofanyika mjini Moshi.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mafuta na
vilainishi GAPCO,Caroline Kakwezi ambao ndio wadhamini wa mbio za
watu wenye ulemavu akizungumza wakati wa uzinduzi wa mbio
hizo.
Mwenyekiti wa chama cha riadha mkoa wa Kilimanjaro (KAA) Liston Methacha akizungumza wakati wa hafla ya fupi ya uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio za Kilimanjaro Marathoni. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Kibo Palace Hotels na Kibo Homes ,Vicent Lasway akizungumza wakati wa uzinduzi wa mbio hizo uliofanyika katika Hotel ya Kibo Homes. |
Wanariadha toka klabu ya riadha ya Holili wakifuatilia uzinduzi hhuo. |
Baadhi ya viongozi walioalikwa katika uzinduzi wa mbio hizo. |
Mkurugenzi wa kampuni ya ExecutiveSolution ,Aggrey Mareale akitoa maelezo mafupi kuhusiana na mbio za Kilimanjaro Marathoni ambazo zimeingia msimu wa 13 ,zitakazofanyika mwezi wa tatu mwaka huu. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii
Kanda ya kaskazini.
No comments:
Post a Comment