HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 29, 2014

Ziara ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira katika Migodi

Mtaalamu kutoka Mgodi wa Geita akitoa ufafanuzi kwa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira juu ya utekelezaji wa sheria ya Mazingira katika mgodi huo. Wengine katika picha ni wajumbe wa Kamati hiyo.
Kutoka kulia, Mh. James Lembeli Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira akitoa maagizo kwa wataalamu wa mgodi wa Geita (hawapo pichani) juu ya Hifadhi endelevu ya Mazingira kwa mujibu wa Sheria. Wapili kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu na wengine ni wajumbe wa Kamati hiyo.
Sehemu ya Mabwawa yanayotumika katika shughuli za uzalishaji katika Mgodi wa Geita.
Katika jitihada za kuhifadhi mazingira katika Mgodi wa Geita, pichani ni eneo maalumu lililotengwa kwa ajili ya utupaji wa taka zinazoharibika.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad