HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 22, 2014

Msanii Diamond Platnumz ahojiwa na Polisi kwa kutumia Mavazi ya JWTZ katika Show yake

MSANII wa Muziki wa Kizazi kipya nchini,Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano baada ya kuonekana na mavazi halisi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania katika Tamasha la Fiesta lililofanyika jijini Dar mwishoni mwa wiki. 

 Diamond amejikuta akifikia hatua hiyo ikiwa ni siku moja tu baada ya Meneja wake Babu Tale kamatwa na jana kwa kuhojiwa na kulala mahabusu kuhusiana na matumizi hayo ya mavazi ya kijeshi katika onyesho la Fiesta mwishoni wiki. 

Habari zaidi zitafuata.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad