HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 30, 2014

RAIS KIKWETE AHITIMISHA ZIARA YA MKOA WA MOROGORO, AFANYA MAJUMUISHO NA WATENDAJI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mbunge wa Morogoro kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Mh Innocent Kalogeris  alipowasili katika ukumbi wa shule ya msingi Gairo ya kwenye kikao cha majumuisho na watendaji wa mkoa huo baada ya kuhitimisha ziara yake ya mkoa wa Morogoro
Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Mvomero na Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla
Rais Kikwete akiwashukuru wafadhili wa miradi ya afya ya mama na mtoto mkoani Morogoro
Watendaji wa kada mbalimbali wa mkoa wa Morogoro katika kikao hicho cha majumuisho
Sehemu ya Wabunge wa mkoa wa Morogoro kwenye kikao hicho
Wabunge wa mkoa wa Morogoro kikaoni hapo
Watendaji wa mkoa wa Morogoro wakiwa kikaoni
Rais Kikwete akiongoza kikao cha majumuisho baada ya kutembekea Mkoa wa Morogoro
Rais Kikwete akiongea kwenye kikao hicho. Kulia ni Mbunge wa Mvomero na Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akifuatiwa na Mbunge wa Morogoro kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Mh Innocent Kalogeris
Mmoja wa wajumbe wa kikao akielezea jambo 
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Joel Bendera akimshukuru Rais Kikwete kwa kufanya ziara mkoani mwake
Mkuu wa Mkoa wa Mororogo akielezwa jambo na Katibu Tawala wa Mkoa huo Mhe  Eliya Ntandu
Rais Kikwete akimsikiliza Mbunge wa Mvomero Mhe. Amos Makalla wakati wa kikao hicho. Katikati ni Mbunge wa Morogoro kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Mh Innocent Kalogeris.
Rais Kikwete akiongea na  Mbunge wa Mvomero Mhe. Amos Makalla
Rais Kikwete akitoka nje ya ukumbi baada ya kuhitimisha kikao cha majumuisho
Rais Kikwete akiagana na Mbunge wa Mvomero Mhe. Amos Makalla

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad